Bomu Bagamoyo

Bomu Bagamoyo

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
593
Kuna habari kuwa kuna bomu ambalo bado kulipuka na limeonekana Bagamoyo. Nimeisikia habari hii wakati ikimalizika na nimepiga simu kwa mtu wa Bagamoyo amesema ni kweli kuna habari hizo. Wenye habari zaidi mtujulishe tafadhali.
 
Back
Top Bottom