Bomoabomoa inakuja Kigamboni

Bomoabomoa inakuja Kigamboni

collimore

Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
28
Reaction score
1
Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.
 
Pole sana..ila hakuna namna ili nchi iweze kusonga lazima wengine waumie..
 
Inamaana bomoabomoa ndiyo inchi inasonga mbele?mbona wanaumia maskini tu.ona hii vinavyochangia umaskini katika nchi hii wala si ujenzi holela ni moja rushwa 2mashirika ya uma kuchukuliwa na watu binafsi mfano uda3 kodi kuna watu hawalipi kodi 4 viongozi kutokuwa waaminifu
 
Huu mpango wa kupisha ujenzi wa miundo mbinu upo muda mrefu na wananchi walikwisha shirikishwa long time ago. Lengo hasa ni kutekeleza ujenzi wa mji mpya.
 
Safi sana na bado.

swissme
Wakati wa uchaguzi waziri wa ardhi lukuki si alipiga stop bomoabomoa au ndy chaguzi finito kazi inaendelea tena baada ya kuwaingiza kingi wananchi
 
Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.
Utalipwa fidia,mambo ya mji mpya hayo
 
Mabadiliko halisi hayaji bila wengine kuumia. !
 
Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.
wala usiwe na wasiwasi subiri cheki yako tu ujipange upya
 
Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.

Mbaya zaidi hawa jamaa wa KDA kwa kufanya kazi kimya kimya usiombe!
Alafu sijui Mbunge kwa vile Safari hii ndiyo kama mwisho wa Kugombea maana yuko Kimya na ni member humu kama sikosei. Tafadhali Dr.Faustine ufafanuzi kwenye hili !

CC Dr F. Ndugulile
 
Nimewekewa alama za kupisha ujenzi wa barabara inayotoka daraja la Kigamboni kwenye nyumba yangu. Nyumba ipo Mjimwema Maweni karibu na G 5 bar.... Mwenye kufahamu zoezi hili please atujulishe.
Pole mkuu, ndio maendeleo yenyewe hayo ila nadhani mtalipwa, nasikia ni barabara kubwa inayotoka daraja la kigamboni kupitia kisiwani, maweni, mjimwema, kibugumo, gezaulole, mwongozo mpaka kimbiji.. Barabara ya ukweli infact shule ya msingi kibugumo inaliwa kama nusu, nilisikia pale geza ulole magengeni wanakula nyumba za watu balaa, ni vilio ila hamna namna ingine.. Ni kwa ajili ya maendeleo!
 
Back
Top Bottom