Bomoa bomoa yaja dar

Bomoa bomoa yaja dar

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,201
Serikali imetangaza kuanza bomoa bomoa wiki ijayo itaanza ktk mtaa wa Sinza.

POLISI watashiriki ktk zoezi hilo.
MH,Tibaijuka-CHANEL TEN
 
Huyu mama hakuna kitu viwanja vya wazi vilivyovamiwa mpaka leo ameshindwa kuvirejesha
 
Umeambiwa usijenge ndani ya road reserve. Ukijenga wanabomoa utajua uishi wapi
 
bomoa bomoa ya kitu gani? au ya meno ya tembo!!?
 
Serikali imetangaza kuanza bomoa bomoa wiki ijayo itaanza ktk mtaa wa Sinza.

POLISI watashiriki ktk zoezi hilo.
MH,Tibaijuka-CHANEL TEN
Umeweka thread yenye taarifa muhimu, bahati mbaya hujafafanua zaidi. Wanabomoa nini na kwa nini?
 
Serikali imetangaza kuanza bomoa bomoa wiki ijayo itaanza ktk mtaa wa Sinza.

POLISI watashiriki ktk zoezi hilo.
MH,Tibaijuka-CHANEL TEN

Hii ni habari njema sana, mitaa imekaa hovyo hovyo, mijumba inajengwa hovyo hovyo, hakuna standard, hakuna mpangilio, hakuna viwango, hakuna vipimo. Natamani jiji zima la Dar libomolewe lianzwe upya.
 
Bomoa bomoa ianze jicho na pua na ikulu lile jengo la ghorofa 18 is not enough. We live by example and the example is we.
 
Back
Top Bottom