Bomoa Bomoa itawarudisha watu Shamba

mwenyeKitu

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
946
771
Hakika kwa jinsi JPM anavyotaka kuupanga mji naona wazi watu wakirudi kijijini.

Mfano piga hesabu mtu alijenga bondeni tangu miaka ya 1980. ..hivi leo anaweza kununua kiwanja?

Kutokana na kuwa city centre ali pangisha wapangaji nae alifanya biashara ndogo ndogo je ataweza kuanza Upya. ..

Navyoona JPM ameona mbali anawaondoa machinga na wapiga debe kiaina. ...akibomoa Squarter zote mlalahoi hataweza kukaa mjini. ...shamba litamhusu
 
Hotel zote zilizojengwa kwenye fukwe zikishabomolewa wahudumu wake wataenda wapi
 
Back
Top Bottom