Nikweli hata Mtwara tulikuwa nao .Hawa SBS ni Kampuni ambayo inafanya kazi pamoja na AKO Group LTD
Shukrani kwa maelezo mazuri sana,Ofisi zao zipo masaki,wao TOTAL hawaajiri kampuni zilizo kasimu kazi ndio zitaajiri watu, mfano Bollore na super star wameungana ktk kutenda kazi za logistics na clearing hapo ndipo patakapo kuwa kuna ajira lakini kwa wao TOTAL moja kwa moja watakuwa na nafasi chache sana maana wao ni wenye mradi.
Ningekushauri upite Bollore pale Mwananchi,na upite SSF kule Nyerere road itakusaidia kupata lolote jipya, mimi kampuni nayofanyia kazi walijaribu kuomba nafasi huko lakini tulikosa.Shukrani kwa maelezo mazuri sana,
Na je, tayari hizo kampuni zilizopewa subcontract zimeshaanza kuajiri rasmini?! Yaani ajiri za ujenzi wa bomba zimeshaanza rasmini mkuu?!
Watapata ndugu na hawata weza kuzimaliza maana ktk huo mradi makampuni yatakuwa mengi tofauti na mradi ni waumbali mrefu sio wamahala pamoja kama Bandari, na pia kingine ni juhudi binafsi itawasaidia sana, bila ya hivyo watazisikia nafasi za kazi kwenye bomba tu.Kwenye hizi ajira wazawa ama wakazi wa tanga wapewe kipaumbele lasivyo ..tutarogana kweupe wasituchulie poa kazi watazikimbia ..mtajua kwanini tanga kuna vichaa wengi Sana
Kwenye hizi ajira wazawa ama wakazi wa tanga wapewe kipaumbele lasivyo ..tutarogana kweupe wasituchulie poa kazi watazikimbia ..mtajua kwanini tanga kuna vichaa wengi Sana
Ningekushauri upite Bollore pale Mwananchi,na upite SSF kule Nyerere road itakusaidia kupata lolote jipya, mimi kampuni nayofanyia kazi walijaribu kuomba nafasi huko lakini tulikosa.
Cheki hili takataka la manure linawaza uchawi muda wote😂😂😂Kwenye hizi ajira wazawa ama wakazi wa tanga wapewe kipaumbele lasivyo ..tutarogana kweupe wasituchulie poa kazi watazikimbia ..mtajua kwanini tanga kuna vichaa wengi Sana
naongea ukweliCheki hili takataka la manure linawaza uchawi muda wote
Tusubiri baada ya uchaguzi 2025 ndio ujenzi utaanza.Mpaka sasa hakuna ujenzi wowote wa bomba unaoendelea uko Tanga
Nikweli kabisa pale pana jiwe la msingi tu na mipangilio mingi bado inafanyiwa kazi mwezi wa saba mwaka jana kulikuwa na mamaliziko ya usajili wa TOTAL pale Brela naamini hatua walizozifikia kwa sasa mpaka mwezi wa 3 tutasikia tamko.Mpaka sasa hakuna ujenzi wowote wa bomba unaoendelea uko Tanga
Boss kwa taarifa za karib km upo tanga basi kuna watu ambao wamepeleka barua za maombi wilayani Handeni kata ya misima kwahiyo wawez kuuliza kama una ndg site hizo ujue utaratibu upoje ahsanteHabari wakuu,
Naomba yeyote mwenye habari kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta ghafi crude oil kutoka Hoima -Uganda hadi Tanga Tanzania juu ya kuanza kwa ujenzi wake anipe maelekezo kidogo.
Maana naona tu matangazo ya hapa na pale ambayo bado sijjjayaelewa kuhusu undani wake.
Naomba kufahamu kama ujenzi wa bomba hili umeshaanza au laah?!
Wameshatangaza ajira zao au bado?!
Na ofisi za kampuni ya Total inayojihusisha na bomba hili kwa hapa Dar iko maeneo gani?!
Natanguliza shukrani sana!View attachment 2070643View attachment 2070644
Boss kwa taarifa za karib km upo tanga basi kuna watu ambao wamepeleka barua za maombi wilayani Handeni kata ya misima kwahiyo wawez kuuliza kama una ndg site hizo ujue utaratibu upoje ahsante