M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,113 Jan 26, 2018 #1 Nauliza tu, Huu mradi umeishia wapi?? Mbona tumeshajipanga kuzichangamkia fursa jamani Msitufanyie hivyo.
Nauliza tu, Huu mradi umeishia wapi?? Mbona tumeshajipanga kuzichangamkia fursa jamani Msitufanyie hivyo.
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,813 Jan 26, 2018 #2 Zubaa wenzio wapo karibia wanamaliza robo ya kwanza. Huoni malori yanapita na mabomba. Nina jamaa yupo kwenye huo mradi. Tatizo akina Zitto hawatoi hizi taarifa wamekomaa na takwimu mazuri yote hawawaambii wananchi.
Zubaa wenzio wapo karibia wanamaliza robo ya kwanza. Huoni malori yanapita na mabomba. Nina jamaa yupo kwenye huo mradi. Tatizo akina Zitto hawatoi hizi taarifa wamekomaa na takwimu mazuri yote hawawaambii wananchi.