Wanahusika na nn mkuudah boy manda kampuni la iringa sijuh... nakumbuka kipind icho linapiga mzigo mafinga way...
Wanahusika na shughuli za ujenzi wa barabara na majengo
Mkuu yawezekana walioko jf hakuna aliefanya application..Habarini wakuu. Naomba niwaulize swali wana jf, je kuna mtu alitumaga maombi katika hiyo kampuni tajwa hapo juu,na je walishaita watu kwenye usahili au bado??naombeni Masaada kwa anayefahamu anijuze. Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
ujenzi wa barabara....
Mimi nilituma, ila kimya mpaka leoHabarini wakuu. Naomba niwaulize swali wana jf, je kuna mtu alitumaga maombi katika hiyo kampuni tajwa hapo juu,na je walishaita watu kwenye usahili au bado??naombeni Masaada kwa anayefahamu anijuze. Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh... Labda tusubiri tuuu mkuuMimi nilituma, ila kimya mpaka leo