Boga la Tani moja na kilo gramu 704 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Boga la Tani moja na kilo gramu 704

Discussion in 'International Forum' started by MziziMkavu, Oct 12, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  1,704-lb pumpkin takes prize at Calif. contest

  Tue, Oct 11, 2011 - AP 1:22 | 29,047 viewsA landscaper at a Napa vineyard who borrowed some grape-growing land to raise pumpkins is this year's winner of the Half Moon Bay giant pumpkin contest, an event that draws farmers from up and down the West Coast. (Oct. 10)

  angalia Video hapa bonyeza 1,704-lb pumpkin takes prize at Calif. contest
   
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mkuu muombe Mod ubadilishe heading ya thread. Kweli boga ni kubwa ila wewe umechanganya Kilogramme na pound. huo uzito upo kwenye pound na si kilogramme. Kwa kukusaidi tu angalia hapa chini

  1 Kg = 2.2 lb, hivyo basi uki-convert pound 1,704 unapata kilogramme 774.55. Ili Uwe na tani moja unatakiwa kuwa na Kilogramme 1,000. Boga hilo halijafikia tani moja. Unaweza sema lina 0.77455 tones kama haja yako ni kuweka neno tones.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Sawa Hatukwenda shule bwana tumekimbia umande wa Mvua asante Msomi ............
   
 4. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Don't get me wrong mkuu, nilikuwa najaribu kuweka facts tu, hakuna sehemu niliposema hukwenda shule.Ninajua Hesabu ni tatizo la kitaifa ila kwenda shule haimaanishi kujua hesabu tu.

  Samahani kama nimekukwaza mkuu.
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu, hii kitu ni kubwa sana. Unajuwa mwisho wa mwezi ndio ile Halloween yao na huu mwezi vile vile una Pumpkin Festival ambayo wengine wanaita Fall Festival.

  Thanks for the post
   
 6. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Umepotea sana Max
   
 7. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Mkuu tupo unajuwa tena hapa tulipo lazima tuendeleze uzalendo. Salama lakini hapo Yankee?
   
Loading...