Boflo ulisema unaweza hii..........?

...mmmmh kama uwongo vile...macho yanaona akili inagoma kabisa,nisaidieni jamani...
 
Duh aisee hii ya moto jombaa...
 
Mwe...!! kweli pesa inatafutwa kwa kila.namna, dog yuko siriaz kwelikweli...
 
achana na imani potofu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
duh... anafaa kumleta kwenye matamasha yetu ya siasa ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…