Body ya Rosa bus inauzwa ipo kwenye hali nzuri kabisa tatizo Dereva alitembeza gari bila maji ikakaanga injini ukitaka utapewa na hiyo injini yake mbovu vingine vyote vizima tairi mpya roof safi seat nzuri kabisa bei mil.15 mazungumzo yapo kwa muhitaji.
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/700741fe535d4cb24b0771ff626fd4f0.jpg[/,
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/b793b64f0a07a9796cb14a2c5bfabaf4.jpg[/QUOTE]
[/QUOTE]
picha hazifunguki mkuu
Bei ni mil. 15 mkuu na mazungumzo ruksa
Ww una ngapi mkuu hapo ni injini tuu unavisha gari inatembea tairi, gearbox, diff, na seat vyote ni vizima kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mi sihitaji difu na gia box maana mi engine yangu ni 40b, nahitaji body na seat zake. Hiyo offer uko mbali sana nisije sema natukana bure
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jamaa una ml 2 naona wewe
Hahahaaa hapo pagumu mkuu
Bodi haina puti hiyo mkuu ni bati kwa bati