HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,448 Reaction score 6,211 Dec 21, 2018 #1 Habari wa kuu kuna gari ya jamaaa yangu ilipata ajali..... sasa tunataka kuhamisha body maana injin na gia boks havikuguswa naweza pata body ya mark x, verosa au hata brevis kama unayo njoo pm tuyajenge angalau upate hela ya sikuku
Habari wa kuu kuna gari ya jamaaa yangu ilipata ajali..... sasa tunataka kuhamisha body maana injin na gia boks havikuguswa naweza pata body ya mark x, verosa au hata brevis kama unayo njoo pm tuyajenge angalau upate hela ya sikuku