Body language ya viongozi wetu

locust60

Senior Member
Joined
Oct 1, 2008
Posts
101
Reaction score
13
Mwenyetiki wa CHADEMA wasalimiana na Raisi ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM(chama tawala).Kutoka kwenye picha unaweza tambua yupi ni mkuu wa nchi? ni alama gani zinatambulisha ukuu wataalamu wa body language tuambieni.
 

Attachments

  • GO9G1385.JPG
    27.9 KB · Views: 400
Waweza dhani wanapendana kumbe hakuna kitu hapo,,,!
 
Jk amempa fm updown hand(sign of oppression), fm amejitahidi ku-neutralize kwa double handler bila mafanikio, so jk ame-maintain supirior position.
 
Waweza dhani wanapendana kumbe hakuna kitu hapo,,,!

Hizo ni alama za viongozi walio komaa. Wapinzani wanaheshimiana na kufuata kanuni na kujadiliana kikubwa kwa maslahi ya taifa
 
Jk amempa fm updown hand(sign of oppression), fm amejitahidi ku-neutralize kwa double handler bila mafanikio, so jk ame-maintain supirior position.

on the contrary, it is just the matter of whether you are on the left or right side. on this side jk's thumb is on top on the other side it is mbowe.
 
Kama FM anasema "Fungasheni kabla ya 2015" la sivyo tutawatoa nduki....
 
hiyo mikono itashikwa kwa njia zote, na hizo posture zitakuwa za aina zote....ila mwisho wa siku rais ni rais tu, na akilazimisha DOWANS ilipwe italipwa tu, hata kama angekuwa amepiga magoti wakati wa kusalimiana na mbowe.
 
Mbona kama JK kaepa kidogo hivi alifikiri Mbowe anampelekea ambakati nini ya chini ya kidevu...
 
Crashwire vp mbona unadilit sana post zako, au uko kiitelijensia zaidi?
 
Kidizaini Jk kama anamuogopa Mbowe:first:
Halafu JK kama anataka kuchomoa huo mkono apotee, si unaona hata bega lake la kulia lilivyokaa, halafu tabasamu la JK kama la kujilazimisha hivi...
 
ni kama mbowe anasema 2likuwa tunatania 2(arusha) usiogope tuko pamoja. yes i know.
 
Kidizaini Jk kama anamuogopa Mbowe:first:

I do agree with you 100%. Alimwangalia as if 'sasa umeamua kuja kunitia aibu mbele za watu??' Jasho linamtoka hahahhah hizi sinema za bure jamani raha tupu!!!Hii ni dhahiri kwamba mkulu kura uliiba sasa guilty conciousness inakusuta vibaya vibaya. Fanya mambo kieleweke ama sivyo miaka mitano itakuwa ya mateso sana.
 
Jk kaweka pozi la picha mbowe hana time na media anajua itakuja yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…