GYNEOCOLOGIST
Senior Member
- Sep 13, 2016
- 171
- 112
Hiyo hatua ya kutambua kuwa your opposite sex yupo interested nawe ndio haswaa msingi wa swali langu, nnachojua ni kuwa kuna body language ambayo ndio kiashiria. So tuchambue ni viashiria vipi katika hiyo body language hutambulisha kuwa one is interested?Upo interested, na yeye kawa interested. ...kama bado huwezi soma ujue muda bado
Macho atatamani awe anakuangalia ila ukimwangalia anakwepesha macho yaani ana nguvu ya kukutanisha macho iyo ujue imooooooo
Siku hizi mademu karibia 99% body language ipo on kila wanapohisi kuna halufu ya pesa,kuwa makini.
Yes,it is all about money.Is it all about money?
Kumbe ni rahisi kiac hicho....unaangalia tu tairi zilivyokaa then the game is over [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kumbe ni rahisi kiac hicho....unaangalia tu tairi zilivyokaa then the game is over [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahahaaa.......mi nasubiri cha wanaume, cjui kitafika lini.