@wakuchakachua...ebu ntafsirie iz picha mbili i dnt kn w hw to cal t ..ni body language o stuation language...
1.umemkuta mama ametandika kitanda na amemwagia maua kitanda kizima na amelala na kinait dress cha utata
2.umemkuta mama katandika shuka la kawaida tu na amelala na jeans.
aya apo itakuwaje sasa...whch z whch on whch?
....any way for my prspective kulala na jinsi is not body language, when talk abt body language unamaanisha kama kukonyeza, kubinua midomo,kugeuza geuza macho,kutikisa bega.....etc nadhani hapo utaunganisha na vingine ving.
Back to ze point ladies tunatumia sana hizo body language kama unakuwa umempenda mtu na its hard for you to tell straight foward sometime unamuangalia kwa macho ya kurembue(ingawa kuna wengine ni macho yao tu)but tunaweza sana tumia viungo vyetu kuwakilisha ujumbe mahususi.
Wana JF goodmoring:yield:
Sasa Rose hapo nieleweje kama na wewe huelewi mwili wako unataka/sema nini?...body language ndo nyenzo kuu in communication kwa wadada
-akina kaka weng hawajui tunaongea nini.....saa nyngne pia ata sisi atujui tunazungumza nin lakin our body speaks.
-body language haidanganyi..haipotez muda na ipo frendly pbm ni katika kujua kuitumia body language...mijitu ya sociology,saikoloji ina raha katika i...!!
Hapo sasa:smile-big:@wakuchakachua...ebu ntafsirie iz picha mbili i dnt kn w hw to cal t ..ni body language o stuation language...
1.umemkuta mama ametandika kitanda na amemwagia maua kitanda kizima na amelala na kinait dress cha utata
2.umemkuta mama katandika shuka la kawaida tu na amelala na jeans.
aya apo itakuwaje sasa...whch z whch on whch?
Rose wacha nikujibu;
1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!
2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!
Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo No 2 haiwezekani ikawa amechoka tu na amejisahau akalala na jeans, just want to not over interpret :smile-big::smile-big:Rose wacha nikujibu;
1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!
2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!
Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
Sasa Rose hapo nieleweje kama na wewe huelewi mwili wako unataka/sema nini?
Hiyo No 2 haiwezekani ikawa amechoka tu na amejisahau akalala na jeans, just want to not over interpret :smile-big::smile-big:
autak kijicho changu eennh?????Rose wacha nikujibu;
1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!
2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!
Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na maana yake tafadhali, ni ktk kudumisha mahusiano.
Kwa mfano sikumoja ….siju Preta kaamua kulala na Jens ……… sasa hapa sijui tafrisi
yake ilikuwa nini mie nkadhani tu mwenzangu kachoka na kazi za machana ………..
kumbe naambiwa maana yake ni kwamba …….. Don't me tonite ..... Je hii nikweli :thinking:
mim naelewa..naweza zungumza na wewe kwa body language tu
wewe tunakaaa sehemu tu kwa dk 30 tukitoka apo naweza nkakuandikia profile yako nzima juu ya abcd.....
gestures /body language ni rahisi sana kuisoma na wala haidanganyi mimi mtu simsikilizagi maneno yake nachek action +gestures zake tu unaweza ukampata mazima anataka nini ,anawaza nini,anataka kufanya nini na unajua umfanyaje accrdngly iwe hm,ofc au popote pale....
--wakat tupo chuo kulikuwa na vitabu ivo vya body language n alike..ata uku mtaani vipo kibaaaooo +kuna kaz nyingine ni lazma mpewe coz ya body language n saikoloj sjui nanini tena...haaaaaaaaaaaaaa nimechoka kuandika babu weeeeeeeeee byeeeeeeeeee:yield::yield: