Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,270 Reaction score 1,111 Sep 12, 2012 #1 habari zenu wadau!! natafuta bodi la toyota corola 4k au carina,liwe linasupport rear diff. Kwa yeyote alienalo au mwenye kujua wapi naweza kupata ani pm. Msiulize injini na gearbox jamani vyote ninavyo hadi difu. Natanguliza shukurani za dhati.
habari zenu wadau!! natafuta bodi la toyota corola 4k au carina,liwe linasupport rear diff. Kwa yeyote alienalo au mwenye kujua wapi naweza kupata ani pm. Msiulize injini na gearbox jamani vyote ninavyo hadi difu. Natanguliza shukurani za dhati.