yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Bodi ya mikopo ivi karibuni imekuwa habar ya mjini wakijinasibu kuwafatilia waliokopeshwa kwa njia zozote hata kuchapisha picha zao....kwanza nipende tu kuwaarifu kwamba walio katika ajira zisizo rasmi wana kipato kikubwa hata kuliko hao mnaokomaa nao mnaowapata hapa nashauri mjikite katika kampeni ya kushawishi wadaiwa kujitokeza wenyewe kwa hiari ikiwa ni pamoja na hata wakati mwingine kutoa offers mfano watakao jitokeza ndani ya mwezi mmoja ujao watatangazwa kwenye vyombo vya habari kama wazalendo, au hata kuoata punguzo la asilimia kadhaa ndani ya muda flan mnaotoa kufanya kampeni nadhani mnaweza wakajitokeza wengi na mkafikia lengo lenu la makusanyo lakini mkiendelea na iyo mikwara mnazidi kutufanya tutafute chimbo.