wa ungwana habari zenu? Jamani hivi inakuaje kwa wale ambao mpaka sasa hawaonekani kwenye bodi ya mikopo na wameshachaguliwa na tcu? Kuna majina yoyote amabayo yatatoka baadae au ndo nitolee hiyo?