M Milandu01 New Member Joined Aug 16, 2019 Posts 2 Reaction score 0 Sep 10, 2019 #1 KUNA UPDATE YEYOTE????
Mungoni Mshamba Senior Member Joined Jan 30, 2017 Posts 154 Reaction score 63 Sep 10, 2019 #2 25th October, 2019
SHEVCHENKO JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 331 Reaction score 452 Sep 10, 2019 #3 Wenzio hata vyuo bado hawajapata wew umeanza kusumbua huku. Kwakuwa huna stress si eti eh..
mwakajingatky JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 558 Reaction score 927 Sep 10, 2019 #4 Milandu01 said: KUNA UPDATE YEYOTE???? Click to expand... Dogo mbona mvivu kiasi icho...kuingia tuu kwenye website yao shida Anyway usipende kutegemea watu kwenye vitu vya muhimu kama ivi...kuwa serious uwe watembelea website yao kujua kama kuna habari yoyote,uwe waishi kisomi zaidi.. Anyway...bado hamna update zozote,
Milandu01 said: KUNA UPDATE YEYOTE???? Click to expand... Dogo mbona mvivu kiasi icho...kuingia tuu kwenye website yao shida Anyway usipende kutegemea watu kwenye vitu vya muhimu kama ivi...kuwa serious uwe watembelea website yao kujua kama kuna habari yoyote,uwe waishi kisomi zaidi.. Anyway...bado hamna update zozote,
test man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2016 Posts 1,014 Reaction score 970 Sep 10, 2019 #5 Daaah ww hatari sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,852 Reaction score 184,673 Sep 10, 2019 #6 Mapema sana... Cc: mahondaw