Bodi ya mikopo yakosa huruma:

Bodi ya mikopo yakosa huruma:

Kaka1

Member
Joined
Aug 7, 2013
Posts
87
Reaction score
22
Nivigumu kama unakula kumkumbuka ambaye hajala kwa mujibu wa bodi ya mikopo Elimu ya juu,wale wanafunzi wa mwaka wa kwanza walioambiwa kuja kufanya marekebisho hadi leo wanajuta why walikuja chuo,kuna dogo nipo naye apa chuo anatamani kurudi home,SERIKALI ILITOA TAARIFA NZURI KWAO,LAKINI IMEGEUKA KUWA MAJUTO NA WENGI WAO NI WALE WALIOKUWA JKT,Wakubwa acheni manyanyaso haya ni maisha tu.
 
Bado wanashughulikia inshu ya zito,
wakimaliza watalifikiria,
 
Back
Top Bottom