Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

lenardo

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
15
Reaction score
2
Kwanin hii bod istumie mfumo thabit wa kuwawezesha wanafunzi kupata mikopo kwan imekuwa ikibadili badil utaratibu saiv wanadai wanafunzi wengi wamekosea kujaza tarifa zao bas bodi itoe majina ya wanafunzi waliokosea ili warudie kujaza tarifa zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii siyo bodi ni tawi la CCM, ndiyo maana wanafunzi wote waliomba kupitia CCM wote wamepitishwa.
 
Hii siyo bodi ni tawi la CCM, ndiyo maana wanafunzi wote waliomba kupitia CCM wote wamepitishwa.
Mmhh inabidi niwa ambie nnao wajua nao wakaombed ccm
 
Huu uandishi wako mkuu sijui kama utapata mkopo.
Mimi sijasoma mkuu ndo maana ata uandishi wangu hauridhishi
Na pia sitaki mkopo ingawa nkitaka ntapata coz mimi ni mwana Lumumba pia
 
Back
Top Bottom