Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 993
Labda hivo mkuu maana this tym sijaliona hilo kwenye form na kuna jamaa last year walipata mikopo kwa blue inkKuna Brother Wangu Mmoja Aliapply Chuo Mwaka 2011 Hilo Sharti La Wino Lilikuwemo Katika Fomu Ya Mkopo Kuwa Ni Lazima Utumia Black ink.
Lakini Kwa Sasa Sharti Hilo Limeshaondoshwa Katika Fomu Ya Mkopo ingawa Haikutangazwa Officialy.
Kwahiyo Nafikiria Jamaa Bado Anareference Zile Za Zamani.