Bodi ya mikopo wamechelewesha

Bodi ya mikopo wamechelewesha

mpiga era

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,078
Reaction score
2,269
Jamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi ,picha nk ....! Ukilinganisha na mwaka Jana
Au wametusahau tena
 
Waambie wazazi wenu vijijini wapige kura kwa umakini next time maana ndio chanzo cha matatizo yote haya!
 
wale wa vijijini huko tabora , mwanza igeni kaskazini waliomchagua lowasa, nyie mlijifanya mnajua ndio hayo sasa, ila mmejifunza next time u goner be so carefull 2020
 
Jamani hivi mbona mwaka huu bodi ya mikopo "heslb" wamechelewa sana kutoa majina ya wanafunzi watakaohitajika kwenda kurekebisha ili kama kuna mapungufu watu wakarekebishe kama kuweka sahihi ,picha nk ....! Ukilinganisha na mwaka Jana
Au wametusahau tena
hawaja wasahau wanatafuta gia ya kuwapunguza kiaina
 
Yani mpaka post za vyuo zimekaribia lakini bado
Tyu
 
Duh kumbe hata blue pen haikuruhusiwa
 
nani alikuambia ukosee,mfano:unaambiwa tumia black pen unatumia blue,disqualified tayari!

hapa kazi tu hatutaki vi-laza
Hilo la peni si la kweli hawakuandika popote kwenye ile form na mfano mdogo ni rafiki yangu mwaka jana katumia peni ya blue mwanzo mwisho na mkopo kapata so nani ambaye alikosa mkopo kisa peni ila tu imezoeleka hivo watu kutumia peni nyeusi ila si lazima maana nina mifano ya watu walotumia peni ya blue na mikopo wanayo mkuu
 
haya mambo yanachekesha sana eti ukose mkopo kisa wino.....!
 
Kuna Brother Wangu Mmoja Aliapply Chuo Mwaka 2011 Hilo Sharti La Wino Lilikuwemo Katika Fomu Ya Mkopo Kuwa Ni Lazima Utumia Black ink.
Lakini Kwa Sasa Sharti Hilo Limeshaondoshwa Katika Fomu Ya Mkopo ingawa Haikutangazwa Officialy.

Kwahiyo Nafikiria Jamaa Bado Anareference Zile Za Zamani.
 
Back
Top Bottom