nyerere
Member
- Sep 13, 2016
- 33
- 61
Nitoe angalizo hasa kwa wale undergraduate mliochaguliwa vyuo vya private mjipange financially kuanzia sasa. Ifahamike kuwa hata upate 100% ya mkopo kutoka heslb huwa kuna nyongeza ya ada unakutana nayo hasa kwa hivi vyuo binafsi, hata kwa zile course zenye priority ya loan; mfano kozi za afya,education upande wa sayansi,kozi za uhandisi nakadhalika.
Kwa taarifa zaidi angalia TCU guide book utaona tuition fee(ada) na possible loan,ukiangalia utapata picha ya kiasi gani utapaswa kuongeza kwenye ada ya kozi uliyochaguliwa.
NB;-loan allocation itakayotolewa na heslb itatoa confirmation nzuri zaidi ya kiasi gani unapaswa kuongeza.