Bodi ya mikopo na matatizo yao

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
783
Wanabodi asalaam!! Jana nilikuwa bodi ya mikopo kujua kama marejesho yangu wanaingiza. Cha ajabu hawajaingiza mchango na amount ninayodaiwa i mean iliyoletwa ofisini nikatwe ni tofauti na ile iliyopo kwao Ukiwauliza hawana jibu wanakutizama tu..wanachosha sana hawa watu Serikali ipasafishe hapo bodi ikiwezekana hata boss wao....why system zao hazicommunicate na kule unakokatwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikamilisha kulipa deni lao alafu kumbe payroll ya mwezi ule ilikua ishaandaliwa nikakatwa mwezi 1.
Sasa toka mwezi wa 12 nimepeleka documents ili nirejeshewe pesa zangu bodi wananizungusha tu.

Bodi ya mikopo nako wanatakiwa wapeleke jeshi maana matatizo hayaishi
 
Bodi ya mikopo nako wanatakiwa wapeleke jeshi maana matatizo hayaishi
BODI INA WEZI KUPITILIZA, MIMI NILIENDA OFISINI KWAO KUOMBA WAANZE KUNIKATA DENI, WAKAANZA BAADA YA MIEZI SITA WAKASTOP, NIKAENDA TENA, WAAKAANZA KUNIKATA UPYA BILA KUKONSIDER NILISHAANZA KULIPA, KILA MARA NDIYO MCHEZO WAO, SASA NIMEAMUA KUKAA KIMYA.
 
JPM apafumue bodi ya mikopo hakufai kabisa....hawako serious kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…