Bodi ya mikopo msitusahau

Form four index number ndo unatumika kuangalia kama umenufaika. Tar 10 ndo Leo jaribu kuanglia alocation ya mkopo.. Nawasilisha wakuuu
 
Leo kila baada ya mda nachungulia,,,, empty. Mayelo doi..... Ikah lege...
 
Hawawez toa wakati vyuo havija maliza selection verification
 
Huyu alieleta mada hii anaweweseka saizi....!!!!
 
Mkopo bado haujatoka, ila kwakuwa maswala ya kuconfirm yameisha leo, basi kuanzia kesho na kuendelea tutegemee habari njema.
 
Dah...
Leo ndio tarehe 15 ila bodi wamekausha bado.... Tuwe wapole tuu.
 
Hatakama sijapata mkopo, Bt One thing I know, God is Good.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…