Bodi Ya Mikopo Mnachokifanya Sio

daaah poleni sanah ndugu zangu ila kiukweli kama hujachaguliwa kozi ambayo ni priority na wewe sio yatima yaan huna baba wala mama... kwa kweli nakushauri jiandae kwa lolote kupata mkopo ni bahat nasibu .
 
kama ulikuwa na kiherehere na ccm ndo utajielewa. Tulipiga six month bila mkopo tukamwita Pinda kasema msiwe na wasiwasi wapi mienzi nane ndo boom hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…