Awam ya 1&2 sikupata mkopo
Lakin awamu ya 3 jina langu lipo kwenye list lakini cha kushangaza nikiingia kwenye account yangu nakutana na maandishi yaliyo kati ya mstari mwekundu yanadai
"The loan was not located at the first batch"
ushauri wenu tafadhali
Nawasilisha
Mbona inaeleweka kabisa hiyo "was not allocated at the first batch" ila umekua allocated kwenye third batch ,uko vizuri tayari ndugu ,jina litaenda chuo utasign