Bodi ya mikopo kimya!

Bodi ya mikopo kimya!

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
Bodi ya mikopo mwaka uu ad kufika mwez wa kumi kimya tu duh Ata update yeyote bas mtupe maana dah mda sasa
 
kuweni na subira ase mana hawa jamaa hawaeleweki mfano,mwaka jana watu hadi wameenda chuo na wameanza kusom majibu ya mkopo yalikuwa bado hadi watu wakaamua kujilipia ada na wao heslb wakaja wakatoa majibu mwezi wa 11 katikati,na hali hapo ilikuwa mbaya tayar kwa wanafunzi mkuu.si hamna namna waskizieni tu.
[HASHTAG]#usiforce[/HASHTAG] tufanane
 
Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
 
mwaka wa kubana matumizi huu hata kutoa updates ni shida!!
Its too much!
 
Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
Utatakiwa kuwasiliana na chuo na fedha yako itarudishwa.
 
Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
Kijana hakuna mkataba kati ya chuo na HESLB katika swala la kulipa ada...kwa nyie first year kama chuo kitafungua na bodi ya mikopo itakuwa bado haijatoa majibu kwa watu waliopata itakulazimu ulipie ada nusu ya semester moja then kama utapata mkopo itabidi kuandika barua katika uongozi wa finance ili kujua namna pesa yako uliyolipia awali itarudishwa vipi but mara nyingi huwa inasumbua sana...so ukae ukijua kuwa katika kulipa ada chuo huwa hawasubirii bodi ya mkopo maana swala la mkopo ni ww na bodi ya mkopo ..sijui uminelewa hapo mkuu..maana wakati mwingine inatokea unasubiria mkopo kumbe hujapata kabisa so ndo maana chuo huwa hawana muda wa kusubiria bodi ya mkopo but mara nyingi bodi ya mkopo huwa inaachia majina mapema kabla vyuo havijafunguliwa so usiwe nashaka mtapewa tu info wakati ukifika kwani na wenyewe wanajua huo mchanganuo...
 
Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
kuna taratib za kurudishiwa pesa zako kupitia account yako ila inachkua mda sana
 
kuna taratib za kurudishiwa pesa zako kupitia account yako ila inachkua mda sana
Vyuo vya saut huwa hawarudishi fedha kinachofanyika ni kwamba fedha hyo itatumiwa kwa usajili mwaka unaofuata
 
Hivi ukilipa ada mwenyewe na baadae heslb wakatoa majibu kuwa umepata mkopo na wakakulipia ada...inakuwaje hapo...the money is refunded or ndo inakuwa imekula upande wa boss...???
hapana mwaka ujao hutalipa, mfano kama umepewa mkopo nusu hiyo hela uliyolipa itajazia huko.
 
Back
Top Bottom