Mimi mwenyewe nimekomaa kama ww tena zaidi yako ,,,na hata chuo waligoma kunipa usajili mpaka nilipe ada ,,nikatumia akili na miundo mbinu mikubwa bila kuwa na msaaada sehemu yoyote lakini ,matumizi ya akili nyingi yakanipa maarifa nikapata hiyo milion moja nikalipia ada nikapata udahiri ,,then nikaludi bodi nikaendeleza harakati mpaka kwenye hiyo lot ya 6 ndiyo na mm jina likatoka tena wakanipa 95% ,,xo mpaka sasa majina hayajaja kama ww ila tunasubiri tu sababu hata yakija kwa pamoja na Yale mengine ya hawamu ya pili ni poa tu sababu utapata yote mawili kwa mkupuo ,,xo utakua tajiri mdogo wa muda,,ila matumizi ya akili nyingi yanasaidia kwani faida nilio pata ni kubwa sababu bahada ya kukomaa kupata ile milion moja ya ada walio nidai mwanzo kabla cijapata mkopo ,,now bahada ya kuja kunipatia hiyo 95% ni kwamba ile milion moja wataikata kwenye hiyo 5% na michango mingine mpaka mwaka wa mwisho xo sidaiwi tena ada na michango yoyote mpaka mwaka wa mwisho,,xo vuta subira na uvumilivu utapata ,,ndiyo nchi yetu ilivyo,,ila nasisitiza tena matumizi ya akiri nyingi ndiyo chanzo cha mafanikio