Hata hili wameshindwa, hiyo website haina infos zozote za maana kuhusu Korosho, huwezi jua chochote, hata tu Korosho zetu zinaenda wapi hakuna, kama wewe ni Muwekezaji na ungependa kuwekeza kwenye korosho utaanzia wapi kama Bodi ya Korosho yenyewe hata website tu wanashindwa kuweka infos?
Naunga mkono Raisi wa JMTZ kuvunja hii Bodi kwani haina kazi yoyote ya maana inayofanya!