Ni wapumbavu mnoWanakera sana.
Tatizo la byke ukisha ikalia tu unatamani ex leta iwe mwisho tu gear no 5 au 6 na mwendo mkaliBoda boda ni kazi ya laana mno
wasomi wengi ndio wanaendesha bodabodaNa inaua na kuwapa ulemavu watu wengi sana.
Noma mnoTatizo la byke ukisha ikalia tu unatamani ex leta iwe mwisho tu gear no 5 au 6 na mwendo mkali
Juzi kuna mmoja makongo juu, nimesimama kupisha wanafunzi wavuke najiandaa kuondoka naona mtu anaburuzika na lipikipiki lake limehawanyika vipande viwili vikubwa na vidogo dogo vyabkutosha tuHawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu.
Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia! Ni muda sasa kuzuia hawa vichaa. Barabara zimegeuka uwanja wa vita mbele bodaboda, nyuma bodaboda, kulia bodaboda,kushoto bodaboda yaani ni kero tu
View: https://www.instagram.com/reel/DfuBUFlKjla/?mdxt=MWowZWtldzBscG5kcQ==
Kwa mfano chuga kuna yale mataa lakini machali wa byke hawayazingatii kabisa yaniNi Tanzania peke yake ndio unavuka Zebra huku unakimbia.
Imefikia hatua kupisha watu wavuke kwenye zebra ni kama kuhatarisha maisha yao.Juzi kuna mmoja makongo juu, nimesimama kupisha wanafunzi wavuke najiandaa kuondoka naona mtu anaburuzika na lipikipiki lake limehawanyika vipande viwili vikubwa na vidogo dogo vyabkutosha tu