Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
mkuu mbona km picha ya maandamano hii na wala mazingira ya ubungo?
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
Hapo sasa....lakini ndio wenyewe hao...wanatoa mikopo ya miaka mitano(kura)......ndio nguvu yao
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
wauza mafuta wachache mmeshindwa kuwatia bakura mtaweza mabodaboda??ssasa wakitaaka wasigongwe na hao wanaozaliwa wataendesha nini??si lazima wapungue iili wengine waingie hao kuwaletea<br />
gari yetu tu ile ya maji nakwambia wanaziacha pikipiki hizo alafu unazichukua zote unapeeleka FFU anaekuja kuchukua anapigwa]<br />
baakora 6 anaondoka wala wasiwape adhabu kali...wao nani waigongwe amegongwa sumaye,msafara wa mama kikwete sembuse <br />
wao chapa bakoraaaaaaaa
Ningeshangaa kama usingesema hivi!!!Tatizo wenye magari kujidai wao ndo wenye haki ya kutumia barabara
Kwani hakuna FFU siku hizi huko Tanzania. Au wamewekwa standby kwa ajili ya migomo ya wanafunzi?
Kwani hakuna FFU siku hizi huko Tanzania. Au wamewekwa standby kwa ajili ya migomo ya wanafunzi?