Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha

Huo ushirikiano wangekuwa wanauonesha kwa kukamata waharifu na kuwafikisha polisi wangesifiwa sana, lakini wao hujichukulia sheria mkononi.
 
Wakinikuta nishaweka Ndovu zangu kichwani huwa nawatumbukiza sana mitaroni hao shwaini..
 
Kwahiyo mtu kukataa gari yake isibebe maiti yenye damu ndio kuchukua maamuzi ya kuchoma moto gari yake?
Akili hizi zipo kwa watanzania tu
 
Wewe ndio ulimshauri DC wa hai akaharibu shamba la wenyewe kwa ushauri wa kibwegebwege namna hii! Kamsaidie kulipa!
 
Gari aina ya SUV ni toleo jipya?
 
Hakuna gari aina ya SUV acha kulisha watu matango pori
 
Yaani mtu akatae gari yake kubeba maiti watu waitie moto unaona sawa?
 
Mleta mada habari kasimuliwa alafu yeye mwenyewe kaamua kuwa hakimu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
SUV = SHETANI USILETE VIWANDA

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli hao boda boda watakua wamezidi, mana walishawahi kuchoma moto landcruser ya mjeda mmoja hapo hpo sakina
 
TATIZO LA ARUSHA NI CCM
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] umemaliza, vijiswali ingine bhana duuh asante mkuu

Jesus is my saviour and a friend
 
Wenye magari wananyodo sana. Nawaunga mkono hao bodax2
Yaan nimekosa jibu la kukuambia but fikir kwanza madhara ndo ulete wivu wako hapa.

Maana sijaona nyodo za wenye magari ila nimeona una wivu sana mkuu. Sorry kama nimekuuzi

Jesus is my saviour and a friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…