Bodaboda wa Bongo Wanapoonekana Malaika

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Waendesha pikipiki za abiria wa Cambodia wanawafanya wenzao wa Bongo waonekane ni malaika.












Huyu naye anaandika meseji huku anaendesha pikipiki. Ni hukohuko Cambodia. Sidhani kama kuna dereva wa bodaboda Bongo anaweza kuthubutu kufanya hivi pamoja na ukorofi wao wote.

 
Hii ya mwisho imekaa vizuri...dem anaweza kuendelea na "blowjob" wakat ww ukiendesha!
 
Hayo ndio matumizi ya mashine kwa 90%.
 
Wapi watu8!!!!!!!!!!!!

Naona mmezidi 8 mpaka ikabidi mumuweke mwingine kwenye kindoo mtoto.
 

Huu ni ubunifu wa hali ya juu.
Yaani jamaa kachomeka mbao chini halafu wameikalia wote, Wameigeuza pikapu.
 

Hapa jamaa akichuna breki tu, huyo wa juu anaharibu reception.
 
Chuma kinatumika ipasavyo.
Sikujua kama Toyo inabeba rumbesa.
 
Wapo watu8 bhanaaa!!!

Aaaaah, leo ndo nimeelewa.
Kumbe mmemficha mmoja kwenye kindoo mtoto, lakini kawaumbua akatoka.
We unadhani atakaa huko wakati hamna pumzi.
 
Aaaaah, leo ndo nimeelewa.
Kumbe mmemficha mmoja kwenye kindoo mtoto, lakini kawaumbua akatoka.
We unadhani atakaa huko wakati hamna pumzi.

Huyo wa kwenye kindoo aliombewa lifti tu afike tuendako...
 
Hiyo ya pili toka mwisho nomaaa. maana hapo ukishuka lazima ujikague nyuma ya suruali kama hujachafuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…