Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,163 Reaction score 29,863 Mar 30, 2024 #1 Hawana helmet! Wanajipenyeza katikati ya matairi! Mtu hajihurumii, kwa nini nimhurumie?
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,590 Reaction score 11,379 Mar 30, 2024 #2 Heeee
Inside10 Platinum Member Joined May 20, 2011 Posts 34,738 Reaction score 42,829 Mar 30, 2024 #3 Huwa wanajiona wanahataka kuliko yeyote barabarani.. Wajuaji sheria zote huzijuwa wao, wabishi na watoa lugha chafu za matusi matakwa yao yasipotekelezwa humo njiani.
Huwa wanajiona wanahataka kuliko yeyote barabarani.. Wajuaji sheria zote huzijuwa wao, wabishi na watoa lugha chafu za matusi matakwa yao yasipotekelezwa humo njiani.
G guest-1787677518 Guest Mar 30, 2024 #4 Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu.
Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu.
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,163 Reaction score 29,863 Mar 30, 2024 Thread starter #6 Kiungopunda said: Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu. Click to expand... Bodaboda ni balaa la mjini, siwahurumii hata kidogo.
Kiungopunda said: Nawe inatakiwa ujihurumie kwa maana kuna siku watakugonga pamoja na gari lako wakutoe uhai au wakutie ulemavu. Click to expand... Bodaboda ni balaa la mjini, siwahurumii hata kidogo.
ngenya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,346 Reaction score 1,818 Mar 30, 2024 #7 Kwani wanakufa wenyewe? Abiria ndo muwe wakali, shida abiria wenyewe mnazikataa eti zinanukia au zitaharibu mawigi.
Kwani wanakufa wenyewe? Abiria ndo muwe wakali, shida abiria wenyewe mnazikataa eti zinanukia au zitaharibu mawigi.
Mwizukulu mgikuru JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 6,628 Reaction score 15,742 Mar 30, 2024 #8 Boda boda akipata ajali huwa sijisumbui kusimama
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 18,163 Reaction score 29,863 Mar 30, 2024 Thread starter #9 Hawajihurumii!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,877 Mar 30, 2024 #10 Hatari sana... Cc: Mahondaw