Duuh...! Kabisa mkuuNi hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wengi ni vijana wana haraka hao,hawana elimu hata kujiuliza kidogo kuhusu ukimwi. Lijimama likimtunuku kwake raha,anaenda na kuwahadithia wenzie amepataUkimwi hautawaacha salama hao
Na watoto wasio wa kwenye familia hapo mkuuUkimwi unaingia kwenye familia bila hodi
Wanaambukizana ujinga tuTena wengi ni vijana wana haraka hao,hawana elimu hata kujiuliza kidogo kuhusu ukimwi. Lijimama likimtunuku kwake raha,anaenda na kuwahadithia wenzie amepata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesi zimekuwa nyingi hizo za hao siku hiziWanaambukizana ujinga tu
Kweli eeeh...! Mimi nilifikiri wao ndio wanatokewa na nyie sister? Kumbe wana maneno wao eeeh?Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Oooh...! Nao? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Mpaka miaka hii eeh? Hii niliisikiaga zamani,nilijua wame-experyer sasa? Kumbe bado wamowanafuatia watu wa bucha[emoji23]..anakuambia nakupa nyama nzuri km ww..km hujielewi kwisha habari yako[emoji57]
Labda hamuwatoshelezi mkuu? Au kubadirisha vijana? Au ana balance nauli? Lakini wengine wana uwezoBodaboda hawana shida, shida ipo kwa hao wake za watu wanaowavulia chupi huku wakijua kuwa wameolewa
Dada una elimu na unajitambua, ndiyo maana unaweza kubagua na kuona kinyaa.Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Dada una elimu na unajitambua, ndiyo maana unaweza kubagua na kuona kinyaa.
Lakini ni kinamama wachache sana "kabila yako" wanaoweza kuchambua mbivu na mbichi.
Sent using Jamii Forums mobile app