Bora wewe umejiripua bila kuona aibu.
Lakini nakushauri kwa bei hiyo usinunue,maana utauziwa Frame tupu.
Na mwisho wake ni kwa fundikila siku.
Ongeza bei angalua kidogo unaweza kupata kwa watu wenye zile zenye majina ya ajabu ajaba za mchina.
Lakini kwa laki tano utajutia kuweka pesa yako,na ukinunua kwa laki tano basi ujue wewe ndio lasthand,yaani ikitoka kwako inaenda kwenye vyuma chakavu