Sioni umuhimu wowote, kama sisi huku tunalitumia neno tayari wao wazungu kuliweka ktk vitabu vyao ni mambo yao.
Chimbuko la Boda boda ni mpakani mwa TZ & UG pale.... Mtukula
Mwaka Gani?Kumbe hujui, uliza upewe taarifa, Bodaboda ilianza kama usafiri wa baiskeli kati ya mpaka wa Kenya na Uganda. Baadaye pikipiki zilianza kutumika na kuzagaa kote.
Wenye kamusi yao weshakupa mfano wa Kampala.Kumbe hujui, uliza upewe taarifa, Bodaboda ilianza kama usafiri wa baiskeli kati ya mpaka wa Kenya na Uganda. Baadaye pikipiki zilianza kutumika na kuzagaa kote.
'Boda boda' makes it to Oxford English Dictionary
The ninth edition of the Oxford dictionary has adopted 'boda boda' as an English terminology.
Collins and Macmillan dictionaries define the term as a bicycle taxi or a bicycle rider in charge of a motorcycle.
OED defines it as: "A type of motorcycle or a bicycle with a space for a passenger or for carrying goods, often used as a taxi."
The term has its roots in English words 'border border' shouted by riders in Busia, Kenya.
They ferried people from outlying areas in the county, a former district, to Busia town.
Most times, people avoided using matatus because they were expensive or few. But they would also fail to agree with matatus on the fare to the town.
In the border town, a theory says boda bodas transported people across a border without any paperwork and that this did not apply to cars.
Many youths work as riders in towns across Kenya but they have been blamed for numerous accidents.
Hii ni habari njema sana! Nafurahi kuona Kiingereza nacho kikianza kukopa maneno ya kiswahili.Asante sana nafurahi kuona kiswahili kikikua sasa katika nyanja za kimataifa
Kamusi hiyo imechapishwa na matbaa ya Chuo Kikuu cha Oxford (OUP), na ni makala ya tatu.
Pia, kuna maneno yenye asili ya lugha nyingine za Afrika Mashariki au yaliyotoholewa na kuanza kutumiwa katika Kiswahili, ambayo yameongezwa kwenye kamusi hiyo.
Miongoni mwa maneno hayo ni:
•Bodaboda - Baiskeli au pikipiki inayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria
•Mwananchi - Kwa maana ya mtu wa kawaida au raia wa kawaida
•Daladala - (nchini Tanzania) mabasi madogo yanayotumiwa kwa uchukuzi wa abiria
•Sambaza - Kugawa au kueneza kitu muhimu au cha thamani kwa watu wengine
•Mwalimu - Neno linalotumiwa kabla ya kutaja jina la mtu anayeheshimika au anayeenziwa, ambaye anaweza kutoa ushauri au ujuzi kwa wengine. Mfano, Mwalimu Nyerere.
Boda boda (pia: bodaboda) ni neno la kutaja baisikeli inayotumiwa kubeba abiria katika Afrika ya Mashariki au "baisikeli ya teksi". Linaweza kumtaja pia dereva wa baisikeli hii.Wenye kamusi yao weshakupa mfano wa Kampala.
Lakini kimsingi ilianzia Palee Mtukula.
Mbona hakuna Kenya humo?
Utapakatwa?
Au ushalipiwa?
Hahahha wakenya mnapenda sifa nyie watu,basi na kiswahili kimeanzia Mombasa
tz chimbuko la [emoji109] [emoji90]Chimbuko la Boda boda ni mpakani mwa TZ & UG pale.... Mtukula
Ona sasa! Pwani ya Kenya au Pwani ya Afrika Mashariki?Duh kaka hukujua Kiswahili kimeanzia pwani ya Kenya, wengine tumedandia tu. Leo hii utakuta Msukuma au Mhaya anang'ang'ania Kiswahili eti ndio lugha yake ya asili.