Boda boda au muuza chipsi akikwambia 'achana na huyu demu' muwe mnaelewa

Kuna mzee mmoja ostazi ana binti yake mzuri anavaa sana mavazi ya kujistili.Basi nina mwanangu mmoja bodaboda akaniambia nimemuona ustazi anaingia gesti na mchepuko saa 7 usiku,mda huo huo na kwenye gesti hiyo hiyo baba mtu anaingia huyo mwanae kike naye anatoka kugongwa ktk gesti hiyo,yaani wamepishana kidigo.

Jamaa nikaona kama anazingua baada ya miaka 2 ostazi akamuoa ule mchepuko kama mke wa pili ndio nikaamini mwana yupo deep.

Yule binti yake naye akataka kupindua ndoa ya mtu ,mwisho wa siku kazalishwa kaachwa na jamaa anaendelea na mke wake.
 
Back
Top Bottom