imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,705
- 71,100
Ndio kilichobakia.Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
Ndio kilichobakia.Pumbavuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
Mkuu haina maana mimi na wewe kuanza kulumbana katikati ya huu uzi,kama unajua we niambie tu jamaa ninani?Bobby wine?kama angeitwa kyaramuzigira ungeelewa sio?
Poa! Jamaa ni mbunge na pia ni mwana muziki maarufu huko uganda,tatizo lake ni kuwa mbunge kutoka chama pinzani,kama tu ilivyo hatari kuwa mpinzani hapa bongo,usipouwawa utalemazwa,au kupotezwa,tuna haja ya kulumbana?Mkuu haina maana mimi na wewe kuanza kulumbana katikati ya huu uzi,kama unajua we niambie tu jamaa ninani?
Hatuna haja ya kulumbana mkuu,pia asante kwa ufafanuzi mzuri.Poa! Jamaa ni mbunge na pia ni mwana muziki maarufu huko uganda,tatizo lake ni kuwa mbunge kutoka chama pinzani,kama tu ilivyo hatari kuwa mpinzani hapa bongo,usipouwawa utalemazwa,au kupotezwa,tuna haja ya kulumbana?
Unataka kuleta uchochezi?? Tukimaliza.tutakuwa kijijini.kwakoTusiogope sana,hata wenzetu mabaya mengine / nchi nyingine wamepia historian za Giza! Shida IPO dunia ya Leo kama kijiji watu kufanya,ujinga kama hapa kwetu,kuanzisha biashara haramu ya binadamu,ni aibu na fedheha ilioje, 50%,wanajua ni ujinga!!!! Wanatudharau!!!!
Mpinzani mwenzenu mumeshamsahau mara hii..hahahaa.Ni nani huyu jamaa?hili jina mbona halifananii uanasiasa au jamaa ni Sugu wa huko Uganda?
Maana jina kama ni la kisanii hivi!
ogopa sana matatizo yako kuyahamishia kwa mwigine eti ksababishaView attachment 839378
Ngoja tuuone ubalozi utasemaje.
Umeshasema au unataka waje hapo kwa shemejio wakwambie live?View attachment 839378
Ngoja tuuone ubalozi utasemaje.
Mnakamata kijiji kizima?Unataka kuleta uchochezi?? Tukimaliza.tutakuwa kijijini.kwako