Dhumuni la kuitwa kwao ni kuangaliwa viwango ili waitwe timu ya wakubwa cos poulsen hakuwahi muona boban uwanjani so anataka ajiridhishe kabla ya kuwaita taifa stars,ingawa mm naona kama kudhalilisha boban,kwann coach mkuu hakuwepo kwenye mashindano ya kagame akaenda kwao anarudi analeta siasa.boban sio wakujaribiwa ni wakuitwa stars bila mizengwe