fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,896
- 6,071
- Thread starter
- #21
Mkuu ndo Mana nikasema maongezi yapo ,ila fatilia vzr Bei za X5Mkuu mimi sio mteja ila kwa ushauri tu, hiyo bei unayouza haitofautiani sana na bei ya kuaiza hiyo gari Japan, kwa namba C ungeshusha bei.Gharama za kuagiza gari kama hiyo ukilipia kila kitu ni kuanzia Mil 25+