Sure,
Kwa bongo ukitaka ku-overtake Mpaka uitoe gari yote, huwezi kuchungulia kidogo ukarudi. Sasa kama Kuna ingine inakuja upande wako wa kulia na umeshaitoa gari yote ni hatari.
Labda uwe unaacha gap kubwa mbele yako ili uweze kuona mbele yako. Lakini nayo kama mmebanana kwenye foleni gap litatoka wapi?