Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Hiyo ni second hand au? Ni heri niende kuchua X5 used ya miaka ya 2003-2005, kwa bei hiyo yako.
$45,000xTZS 1,680/$=TZS 75,600,000......PAREFU HAPO
Wewe jitahidi ukipata tu njooMkuu nikopeshe nitakulipa nikipata hela,
Kitu imekaa mahali 'ake arifu........
Just imported, FULL duty paid, 2008 2.0 Diesel Manual Transmission, SILVER color, 5 door, 4x4, black leather, ABS, Air conditioning, Alloy wheels, Cruise control, Front armrest, Headlight washers, Folding rear seats, Immobilizer, Passenger airbag, Roof rails, Side airbags
Price US$ 45,000 Serious buyers only PM me for more info if you are interested.
View attachment 43303
Una uhakika ni manual transmission mkuu?
Hii kitu ni sumu balaa halafu mafuta inanusa tu kwenye foleni 13-15km/litre na kwenye highway up to 22km/litre very fuel economy
Dar wenye hela wanaponda raha sana yaani mimi hata piki piki ya kichina sina lakini kuna mbogo magari ya us$45000 kwake ni kama kunua kitu cha Tsh 45000 duuu nisaidieni japo piki piki ya kichina nami nipate ka usafiri jamani looo!!
$45,000xTZS 1,680/$=TZS 75,600,000......PAREFU HAPO