Mnyama ametulia sana๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐๐ ๐ช ๐ซ๐ฏ
Mwaka 2014
Engine 1990cc-Diesel
Rangi Pearl White
Mileage 57,000km
Bei 48,500,000 tsh
๐M-Sport ๐Genuine Leather Seats ๐Push to Start
โ+255626682228
View attachment 3349418View attachment 3349416View attachment 3349412View attachment 3349410View attachment 3349415View attachment 3349417View attachment 3349413
View attachment 3349423
Mnunuaji akishalipia gari, kuna gharama gani tena mpaka gari liwe tayari kuingia barabarani? Ni gari nzuri kimuonekano na pengine hata ndani.ndio ndio mkuu, karibu.
Mkuu hii gari mbona kama bado iko nje huko mambele??๐๐ ๐ช ๐ซ๐ฏ
Mwaka 2014
Engine 1990cc-Diesel
Rangi Pearl White
Mileage 57,000km
Bei 48,500,000 tsh
๐M-Sport ๐Genuine Leather Seats ๐Push to Start
โ+255626682228
View attachment 3349418View attachment 3349416View attachment 3349412View attachment 3349410View attachment 3349415View attachment 3349417View attachment 3349413
View attachment 3349423
Mkuu gari ipo Dar Tanzania, kazi yetu ni kuhakikisha unapata gari bora lenye muonekano mzuri kama linavyoonekana pichani. Karibu sana.Mkuu hii gari mbona kama bado iko nje huko mambele??
IKo nchini?
Hujaeleza kama bei hiyo ni pamoja na ushuru ukilipia unapewa kadi na kuondoka ama?
Gari ni nzuri sana imejitosheleza, hakuna gharama zaidi. 48.5m+registration gari inakuwa yako. Na kama upo mkoani kwa gharama hiyo hiyo gari inakufikia.Mnunuaji akishalipia gari, kuna gharama gani tena mpaka gari liwe tayari kuingia barabarani? Ni gari nzuri kimuonekano na pengine hata ndani.
Hao wanyama wanaongoza kufunuliwa boneti pembezoni mwa mabarabara sijui wana matatizo gani! Seems walikosa chanjo sahihi utotoni.Mnyama ametulia sana๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ๐ช๐ฟ