BMW Series 1, 3, 5

Hivi mkuu nimeona umegusia jamaa anunue M-Sport model, what is so special about this model? Ya kawaida na hii m-sport model ni nini??
High spec BMW ni M-SPORT version. Kuna M3/M5/ X5 M/ X6 M etc
Hii alionunua huyu sio M3 per se ina shape tu kama M3.

M3 ina big poweful engine na bei ni balaa.
 


Brakelyn asante sana kwa uchambuzi na ulinganifu mzuri wa hizo series. Mimi nina mpango wa kununua BMW X3 au BMW X5. Tafadhali unaweza kunijulisha zaidi kuhusu hizo model? Katika pita pita zangu pia nimeshaona BMW X1 lakini sijaona BMW X2 au BMW X4. Tafadhali toa shule!
 
Mwenye huelewa na BMW M3 kwanzia 2006 nakuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…