BMW Series 1, 3, 5

Hivi wewe ni Kijakazi limetumbuka au yule mwingine kule kwenye thread ya Bentley SUV?
 
Last edited by a moderator:
hii hapa 3 Series M Sports Model..

Mkuu asante sana kwa ushauri. nimevuta 3series M sports......... nasubiri kutumbuliwa jipu sasa.

Cheers!
 
BMW series1 na series3 ukiagiza kutoka Japan yaani gharama yake ikoje kwa pesa ya kiswahili kuanzia manunuzi ya nje, shipping pamoja na tra bandarini?
 
Ngoja tukate mzizi wa fitina ina maana Kijakazi mtu anapo omba ushauri wa kununua hizo gari maana yake ni kwamba hana hela ??? Vipo vitu vingi vinamvumtia mtu kununua gari ,labda yeye umbo la gari ndio linamvutia lakini hakua na maana kwamba hana hela ya kununua kati ya hizo choices zake
 
hii hapa 3 Series M Sports Model..

Mkuu asante sana kwa ushauri. nimevuta 3series M sports......... nasubiri kutumbuliwa jipu sasa.

Cheers!
Ni pm kwa ushauri na parts za hio gari UK QUALITY PARTS
 
Huyo jamaa ni mvurugaji tu ndio maana ana id kibao anajichanganya tu kuvuruga watu, mleta mada kachuja pumba na mchele kavuta mashine hio.
 
Huyo jamaa ni mvurugaji tu ndio maana ana id kibao anajichanganya tu kuvuruga watu, mleta mada kachuja pumba na mchele kavuta mashine hio.
Nadhani tu kaamua tu kufanya makusudi ,
Choices ya gari haiwezi ika determine mtu ana uwezo au hana ,jamaa kisa katoa option 1Series na 3 kaona hana hela sijui ,wakati vile vile angeweza akauliza 1series na 7series ipi ingemfaa ,halafu wadau ndio waje na specifications zake kumsaidia
 
Mkuu nina shida ya radiator na oilcooler ya BMW 318i,
 
Ni pm kwa ushauri na parts za hio gari UK QUALITY PARTS
Hivi mkuu nimeona umegusia jamaa anunue M-Sport model, what is so special about this model? Ya kawaida na hii m-sport model ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…