BMW Series 1, 3, 5

wewe kwa akili yako unaona mwenye thread anataka gari mpya 0 km au umeona ndio njia ya kutokomea baada ya kuongea pumba!!:der::der:,,kweli umetumbuka!!
 
Haujui unachoongea kama ungejua unachoongea ungetambua ya kwamba Series 1<3< 5<... Na kama ushahidi leta hapa bei ya BMW 1 (ya mwaka 2015 ) na BMW 3(ya Mwaka 2015) halafu tulinganishe bei, hukohuko ulikofanya kazi hiyo ndiyo itamaliza ubishani!

Sawa boss...umeshinda.
 

Chifu, bajeti yako ni kiasi gani? Kama ipo ya kutosha, katika BMW, 7 series ndizo gari za kiume...chukua 7 series 730 ama 735 diesel, ingawa katika soko la gari used 730 ndiyo yapo mengi...
























Hii ni ya mwaka 2006....tembelea vcars.co.uk kucheki zaidi...kama ukitaka gari tofauti na Toyota, usinunue Japan..
 
Nzi, samahani hii gari yako inaendeshwaje? sioni gear leaver!!
 
Last edited by a moderator:
yani kwenye magari ndio wala sijui kinachoendelea najua tu kuendesha tena automatic cars wana sijui nikitaka kununua nianzie wapi
 



Bila picha hatutaelewana hapa.. Vitz vigari vya kike ..teh
 
Nzi, samahani hii gari yako inaendeshwaje? sioni gear leaver!!

Hapo kwenye ukusakani nadhan upande wa kushoto au kulia kuna kibatani ndo unabofya hicho, hiyo gari ina batani nyingi nadhan hata hand break yake ni batani
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
kuagiza non toyota cars toka japan ni mistake coz gari kama bmw hazina kiwanda jp so bora ata south africa
 

kuagiza non toyota cars toka japan ni mistake coz gari kama bmw hazina kiwanda jp so bora ata south africa
Acheni kuwaingiza watu chaka, Japan hawazalishi Toyota Peke yake, sasa mnavyowaambia watu wakitaka gari tofauti na Toyota wasinunue Japan mna maana gani?

Mfano mtu akitaka Mitsubishi Pajero au Suzuki Grand Vitara akainunue wapi sasa kama si Japan na hizi ni non Toyota Cars?
 
Aisee humu kuna watu wanafanya vurugu,na humu humu kuna wataalam wanaoelezea magari hayo.
Sasa sijui hali inakuwaje.
Mie nimependa tu hizo gari,kwa kuchukulia watoto IFM safi kweli.
 

Website gani hii mkuu?
 
Wewe Ni Muongo na wala SiYO mnunuzi wa hayo magari kwa sababu BMW 1 na 3 ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti ni kama vile mtu anauliza kati ya Toyota Spacio na Toyota Lexus IS anunue ipi!
Kwa hiyo uongo wake ni........unaweza kumalizia?
 
aiseee babayangu tokea mmeanzisha hii mada hakuna aliyetaja bei za izo gari 2wekeeni hata bei
 




mkuu huu mtambo ambao ni bei cheap naupata kwa bei gani
 

Attachments

  • BF393049_e017d5.jpg
    48.5 KB · Views: 178
  • BF393049_f1d169.jpg
    38.6 KB · Views: 174


Teeeeh njoo nkuuzie Series 1 hili wife kachoka kuliendesha anataka jeep sasa linajaza nafasi ya parking tu hapa home
 
Aisee humu kuna watu wanafanya vurugu,na humu humu kuna wataalam wanaoelezea magari hayo.
Sasa sijui hali inakuwaje.
Mie nimependa tu hizo gari,kwa kuchukulia watoto IFM safi kweli.



Naomba nichukulie 2014 lexus rx 450h awd, left hand toka marekani, japan staki.
Niko ifm mwaka wa pili &#128514;&#128514;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…