Habarini wanandugu. Msaada tutani,
Ninataka kununua au niseme kuagiza gari aina ya BMW series 1 au3. Ninaomba ushauri kwa wenye uzoefu na magari haya yasiyo TOYOTA. Hizi gari zafaa huku kwetu? spea je zatikana? unanishauri nini?
ipi ni njia nzuri na ya usalama Zaidi kuagiza gari? na wapi naweza kupata kwa bei nzuri
Asanteee kwa ushauri
Wewe mwongo, wala huyajui magari!!! Maana ungekuwa unayajua ungempa ushauri badala ya kuponda hoja yake!! Kwa hiyo unamwambia hayo magari hayapo hapa duniani?Wewe Ni Muongo na wala SiYO mnunuzi wa hayo magari kwa sababu BMW 1 na 3 ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti ni kama vile mtu anauliza kati ya Toyota Spacio na Toyota Lexus IS anunue ipi!
Wewe Ni Muongo na wala SiYO mnunuzi wa hayo magari kwa sababu BMW 1 na 3 ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti ni kama vile mtu anauliza kati ya Toyota Spacio na Toyota Lexus IS anunue ipi!
Habarini wanandugu.
Msaada tutani,ninataka kununua au niseme kuagiza gari aina ya BMW series 1 au3. Ninaomba ushauri kwa wenye uzoefu na magari haya yasiyo TOYOTA. Hizi gari zafaa huku kwetu spea je zapatikana? unanishauri nini.
Ipi ni njia nzuri na ya usalama zaidi kuagiza gari na wapi naweza kupata kwa bei nzuri
Asanteee kwa ushauri
What's ur point? Kwahio mtu hawezi kuuliza anunue lipi Kati ya spacious na Lexus is?
Kwa hali ya kawaida haiwezekani kwa maana hizo ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti!
Wala hueleweki ndugu.
Wewe Ni Muongo na wala SiYO mnunuzi wa hayo magari kwa sababu BMW 1 na 3 ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti ni kama vile mtu anauliza kati ya Toyota Spacio na Toyota Lexus IS anunue ipi!
zipo BMW 1 Series, 3 Series, 5 Series etc na zote ni za Manufacturer mmoja na sio wawili kama unavyodai.. Wewe ndio usiyejua, mtake radhi mwenye uzi!!Najua ni ngumu kunielewa huwa siku zote nina shida ya kujieleza na kueleweka hivyo siyo kosa lako!
mkuu hongera sana kwa kugundua uwepo wa magari mengine mazuri zaidi ya Toyota.Habarini wanandugu.
Msaada tutani,ninataka kununua au niseme kuagiza gari aina ya BMW series 1 au3. Ninaomba ushauri kwa wenye uzoefu na magari haya yasiyo TOYOTA. Hizi gari zafaa huku kwetu spea je zapatikana? unanishauri nini.
Ipi ni njia nzuri na ya usalama zaidi kuagiza gari na wapi naweza kupata kwa bei nzuri
Asanteee kwa ushauri
zipo BMW 1 Series, 3 Series, 5 Series etc na zote ni za Manufacturer mmoja na sio wawili kama unavyodai.. Wewe ndio usiyejua, mtake radhi mwenye uzi!!
Kwa hali ya kawaida haiwezekani kwa maana hizo ni gari mbili tofauti kwa watu wawili tofauti!
Sicho nilichomaanisha! Nilichomaanisha ni kwamba na mpaka nikatoa mfano ni BMW 1 iko tofauti sana tu na BMW3 na zote mbili ziko pia tofauti sana BMW 5 na zote hizi tatu zinatengenezwa kwa gharama tofauti kwa wateja tofauti hivyo Mteja wa BMW 1 hawezi kuwa mteja BMW 5!
Tofauti ya bei kati ya BMW1 na BMW3 inaweza kufika mpaka dola10 000 za kimarekani na vivyo hivyo tofauti ya bei kati ya BMW 3 na BMW5 inafika mpka dola 15 000 na kati ya BMW1 naBMW5 tofauti ya bei inafika mpaka 20 000 Dola za Kimarekani!
Hivyo ina maana mteja wa BMW1 kwa hali ya kawaida hawezi kuwa mteja wa BMW5 na ndio maana zikawekwa hizo series ni kwa watu mbalimbali wenye vipato tofauti tofauti!
mkuu, acha kupotosha watu....hizo gari pamoja na utofauti wake wa size,sio kigezo cha bei hio unayoiona ni ya bei ya chini[bmw 1 series] inaweza kuwa na bei kubwa kuliko hizo unazoziona za bei ya juu[3/5 series na x]. Kwahio wewe unamuona huyo alieuliza ni wa ajabu lakini amefanya cha maana sana kuuliza maanake angechukulia kirahisi rahisi kwa kuangalia size kama wewe,ingemtokea puani.
bei ya bmw inategemea na SPECIFICATION na sio size kama 1/2/3/5 kama unavyofikiri,its not that straight foward. kama vipi tafuta bei ya bmw 130M halafu linganisha na bmw 318i ya kawaida. AU angalia bei ya bmw M5 halafu linganisha na bmw X5 3.0i.
#limetumbuka nimeshaelewa tatizo lako lipo wapi. Unadhani kuwa BMW 1 Series ni toleo la zamani kabla ya 3 na 5 series. Hapo ndipo tatizo lako lilipoanzia. Na hivyo inakufanya udhani bei ya 1 Series itakuwa ndogo kuliko ya 3 na 5 series wakati sio kweli.SIYO Kweli!
Sasa ndugu huwezi kulinganisha visivyolingana kama unataka kulinganisha BMW1 sijui M basi pia ni lazima utafute BMW3 pia M ndiyo ulinganishe hizo mbili lkn siyo BMW1 M na BMW3 ya kawaida hapana!
Bei ya BMW1 haiwezi hata siku moja kuwa kubwa kuliko BMW3 au BMW5 kwa hali ya kawaida! Ni kama mtu aseme bei ya VW Golf ni kubwa kuliko VW Passat hilo haliwezekani kwa hali ya kawaida kwani hizo gari zinatengenezwa kwa wateja wawili tofauti wenye vipato viwili tofauti sasa unapoongelea mambo M5 hiyo gari special pia kwa wateja maalumu lkn unapoongelea BMW 1 au BMW3 bila mambo ya M sijui na nini ni kwamba BMW1 ni bei ya chini klk BMW3, BMW3 ina bei ya chini klk BMW5, BMW 5 ina bei ya chini klk BMW7 na sasa kuna BMW9 iko njiani nayo itakuwa na bei ya juu klk BMW 7 ni rahisi kihivyo tu na ndio maana zikawekwa hizo namba hazijawekwa bila ya sababu!
Ni kama vile Toyota Land Cruiser200 GXR haiwewezi kuwa na bei ya juu (kwa hali ya kawaida) kuliko Toyota Land Crusier 200 VX kwani hizi mbili zimetengenezwa kwa wateja wawili tofauti!
#limetumbuka nimeshafahamu tatizo lako lipo wapi. Unadhani kuwa BMW 1 Series ni toleo la zamani kabla ya 3 na 5 series. Hapo ndipo tatizo lako lilipoanzia. Na hivyo inakufanya udhani bei ya 1 Series itakuwa ndogo kuliko ya 3 na 5 series wakati sio kweli.
5 Series zilianza kutengenezwa mwaka 1972 - Present.
3 Series zilianza kutengenezwa mwaka 1975 - Present.
1 Series zilianza kutengenezwa mwaka 2004 - Present.
Bei ya 1 Series ni kubwa kuliko bei za 3 & 5 Series. Sio kama unavyofikiri wewe. Nadhani wewe ni mgeni sana kwenye haya magari ya BMW!!
Ngoja nikupe mfano kwa prices za kila model..!!
SIYO Kweli!
Sasa ndugu huwezi kulinganisha visivyolingana kama unataka kulinganisha BMW1 sijui M basi pia ni lazima utafute BMW3 pia M ndiyo ulinganishe hizo mbili lkn siyo BMW1 M na BMW3 ya kawaida hapana!
Bei ya BMW1 haiwezi hata siku moja kuwa kubwa kuliko BMW3 au BMW5 kwa hali ya kawaida! Ni kama mtu aseme bei ya VW Golf ni kubwa kuliko VW Passat hilo haliwezekani kwa hali ya kawaida kwani hizo gari zinatengenezwa kwa wateja wawili tofauti wenye vipato viwili tofauti sasa unapoongelea mambo M5 hiyo gari special pia kwa wateja maalumu lkn unapoongelea BMW 1 au BMW3 bila mambo ya M sijui na nini ni kwamba BMW1 ni bei ya chini klk BMW3, BMW3 ina bei ya chini klk BMW5, BMW 5 ina bei ya chini klk BMW7 na sasa kuna BMW9 iko njiani nayo itakuwa na bei ya juu klk BMW 7 ni rahisi kihivyo tu na ndio maana zikawekwa hizo namba hazijawekwa bila ya sababu!
Ni kama vile Toyota Land Cruiser200 GXR haiwewezi kuwa na bei ya juu (kwa hali ya kawaida) kuliko Toyota Land Crusier 200 VX kwani hizi mbili zimetengenezwa kwa wateja wawili tofauti!
Wewe ndio uliekuwa unasema na bado umemjibu MTU hapo kuwa series 1/2/3 kuwa moja no ndogo! Na Mimi nakwambia kwenye bmw that's not the case! Kuna 1series bei kubwa kuliko 3 series kutegemeana na specs! Usibishe tu ndugu,nimeendesha BMW na nimefanya kazi BMW UK najua ninachoongea.
#limetumbuka nimeshaelewa tatizo lako lipo wapi. Unadhani kuwa BMW 1 Series ni toleo la zamani kabla ya 3 na 5 series. Hapo ndipo tatizo lako lilipoanzia. Na hivyo inakufanya udhani bei ya 1 Series itakuwa ndogo kuliko ya 3 na 5 series wakati sio kweli.