BM Moro to Dar kaja na mpya

Sokoli

Senior Member
Joined
Apr 14, 2017
Posts
192
Reaction score
128
Wakuu leo nimepanda basi la BM kutoka Moro kuja dar, wamekuja na mpya ndani ya basi moja nauli mbili tofauti kuna viti vinne vya mbele wanaiita VIP nauli shs 10,000/=vinavyofuata nyuma ni bei ya kawaida ambayo ni 7000/=sasa sijajua vile vya mbele vina nini cha tofauti na vile vya nyuma?lakini niwape hongera wamiliki kwani ni mabasi mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo vya mbele viko karibu na tairi, dereva kanyanyuka bombadia ya canada ipo canada betri lipo full charged chenchi za konda onja msisimko na metal......

Af siyo lazima uelewe kwanini viti vinne vya mbele ni VIP, au ungeongeza hiyo 3000 uone tofauti iliyopo.
 
Ukipanda BM za Moro Arusha wana utaratibu wao wa abiria 04 wa mwanzo kukata tiketi kupata huduma ya msosi bure kwenye hoteli wanazosimama kwa ajili ya kula! Sijui bado upo huu utaratibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…